Nafasi Ya Matangazo

November 18, 2015

mw2
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh. Halima James Mdee akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
mw3
Mbunge wa Vunjo Mh.James Francis Mbatia akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
mw4
Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mh.Jumanne Abdallah Maghembe akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
mw5
Mbunge wa Handeni Vijijini Mh. Mboni Mohamed Mhita akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
mw6
Mbunge wa Viti Maalum CCM Neema Mgaya akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
mw1
Mbunge wa Viti Maalum CCM Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai. Source: JIACHIE BLOG
Posted by MROKI On Wednesday, November 18, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo