Nafasi Ya Matangazo

October 11, 2015

Mamia ya wapenzi wa Muziki waliofika kwenye ukumbi wa King Solomon kushuhudia  fainali ya shindano la Bongo Star Search walipata fursa ya  kuona simu mbalimbali za kampuni ya Huawei zilizopo kwenye  soko la hapa nchini pia wenye bahati waliweza kujishindia simu ya kisasa aina ya P8 kutokana na droo iliyochezwa ukumbini hapo kabla ya shindano kuanza . Huawei ilikuwa moja ya makampuni yaliyodhamini shindano hilo.
 
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Huawei Sylivester  Manyara (kulia) akimwonyesha mmmoja wa wateja simu ya kisasa ya Huawei katika ukumbi wa King Solomon mwishoni  mwa wiki  wengine
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Huawei Sylivester  Manyara (kulia) akimwonyesha mmmoja wa wateja simu ya kisasa ya Huawei katika ukumbi wa King Solomon mwishoni  mwa wiki  wengine
Mfanyakazi katika banda la Huawei  akiwaonyesha wananchi  moja ya simu ya kisasa ya Huawei iliyopo kwenye soko mwishoni mwa wiki  katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar e salaam.
Mfanyakazi katika banda la Huawei  akiwaonyesha wananchi  moja ya simu ya kisasa ya Huawei iliyopo kwenye soko mwishoni mwa wiki  katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar e salaam.
Baaadhi ya Maofisa na  wafanyakazi wa Huawei wakiwa katika picha ya moja katika meza ya huduma kwa wateja katika ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki.
Meneja Masoko na Mauzo wa Huawei nchini Samson Majwala akimwonyesha mmoja wa wananchi waliofika kwenye meza ya huduma na mauzo  na huduma sehemu ya kuweka  karatasi ya bahati nasibu katika  ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye onyesho la Bongo Star Search kwenye ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki wakifuatilia droo ya Huawei ambapo baadhi ya washabiki waliweza kujishindia simu za kisasa kutoka kampuni hiyo
Posted by MROKI On Sunday, October 11, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo