Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
 
 
 
Wajumbe wa Mkutano huo Mkuu wa Chadema wakifurahia uteuzi wa mgombea Urais
Mgombea Urais Zanzibar akimpongea Mgombea Urais wa Muungano
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akimpongeza mgombea wa Ukawa, kuptia Chadema, Edward Lowassa.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akimpongeza Mgombea Urais wa Chama hicho ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
Burudani ilikuwepo
Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF na Mgombea Urais wa CUF na Ukawa Zanzibar akiteta jambo na Mgombea Mwenza wa Chadema na Ukawa, Juma Duni (kushoto) 
 
 
Picha zaidi MICHUZI MATUKIO
Posted by MROKI On Tuesday, August 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo