Nafasi Ya Matangazo

July 27, 2015


Mkurugenzi wa Vision Investments, Ally Nchahaga (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijijini Dar es Salaam Julai 26.2015, wakati wa uzinduzi wa Gulio la Magari lijulikanalo kama ‘Automart’ litakalofanyika kila Jumapili ya mwisho wa mwezi na kuwakutanisha  wauzaji na wanunuzi wa katika viwanja vya maegesho ya magari vya Hoteli ya Sea Cliff Masaki jijini.  Kushoto ni Meneja masoko wa Mtandao wa kuuza magari wa Cheki.co.tz, Mori Bencus na Mkurugenzi wa kampuni ya Auto Sport Repairs, Sikandar Merali. PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG

Posted by MROKI On Monday, July 27, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo