Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2015

Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya  Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa  Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar es Salaam viwanja vya Mwembeyanga.
 Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (watatu kulia) akizungumza na wachezaji baada ya kukagua timu hizo
 Mlinda mlango wa timu ya  Azimio Jafary Iddy akimdhibiti  mchezaji wa timu ya mtoni Nyaka Abuu wakati alipofika langoni kwake wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 

Mashabiki wakifatilia mpambano huo
 Wadau wakicheza wakati timu hizo zilipokuwa zikichuana
 Wadau Mbalimbali wakifatilia mpambano huo
 Wasanii Mbalimbali nao walijitokeza akiwemo Mkurugenzi wa Wakubwa na Wanae Saidi Fela (kulia) Teacher Bonge ambaye ni Promota na anaye fatia ni Ispectar Harooni Babu  wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3. 

Posted by MROKI On Thursday, June 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo