Nafasi Ya Matangazo

May 09, 2015

Kulia Mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi akiwa na Mgeni rasmi ndugu Athumani Karunde wakati wa kutembelea mabanda ya waoneshaji
Mgeni rasmi akipata taarifa za namna TAHA inavyofanya kazi ya kuwahudumia wakulima na kuwaunganisha na fursa za mikopo ya kilimo biashara kutoka kwa maofisa wa TAHA
Wakulima wakipokea maelezo ya namna ya kuunganishwa na fursa za Mikopo toka kwa maafisa wa TAHA

Asasi zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na shughuli za Kilimobiashara za masharika ya TAHA, SNV,MVIWATA, AGRO PRO FOCUS,HIVOS, TCCIA na  TRIAS leo zimefanikisha kufanya maonesho ya Kuunganisha Wakulima na Fursa za Mikopo ambayo yamelenga kuwakutanisha wakulima na wafanya biashara wa mazao ya kilimo pamoja na Taasisi za kifedha na zile zinazotoa mikopo kwa ajili ya shughuli za Kilimo Biashara katika picha ni Eneo la viwanja vya Kwaraa Halmashauri ya Wilaya ya Babati ambavyo vinatumika kwa kwa ajili ya kuwakutanisha wakulima na taasisi za kifedha zinazotoa mikopo kwa wakulima(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
2
Afisa wa NMB akifafanua jambo kwa mkulima wakati wa maonesho hayo yaliyofanyika Katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwenye Viwanja vya Kwaraa na yamefunguliwa na Mwenyekiti wa chemba ya biashara Mkoa wa Manyara ndugu Athumani Karunde.

Eneo la maonesho

Wakulima wakifuatilia hotuba na semina elekezi za wataalamu wa masuala ya biashara

Tom Olesika, Mkurugenzi wa Agri Pro Focus akinena jambo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo
Posted by MROKI On Saturday, May 09, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo