Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2015

Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa  na mkewe mama Regina Lowassa(pembeni)akimpa pole mjane wa marehemu Dr John Makundi kwenye kanisa la KKKT Monduli katika Misa ya kumuaga.Marehemu Dr Makundi ambaye alikuwa mratibu wa mpango wa kuzuia ukimwi wilayani Monduli alifariki tarehe 7 April mwaka huu kwa ajali ya gari huko eneo la Kisongo Arusha.Anatarajiwa kuzikwa  tar 11 April nyumbani kao Marangu Moshi.
Posted by MROKI On Friday, April 10, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo