Nafasi Ya Matangazo

March 05, 2015

Wakazi wa Dar es salaam wakimenya ndizi mbovu zilizotupwa katika rundo la taka katika soko la Buguruidi jijini Dar es Salaam kwa matumizi mbada ya kutengenezea pombe mbalimbali aina ya Mbege, Lubisi na nyinginezo zinazotengenezwa kiasili. Usafi katika soko hilo ni hatari kwa watumiaji na wafanya biashara katika eneo hilo.
Mrundikano wa taka ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kuharisha endapo wahusika wa usafishaji katika soko hilo hawata fanya jitihada za haraka za mara kwa mara kusafisha eneo hilo.
Posted by MROKI On Thursday, March 05, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo