Nafasi Ya Matangazo

March 10, 2015

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na akinamama waliopo katika wodi ya uzazi wakieleza uhaba wa majengo kusababaisha msongamano.
Akiongea na wagonjwa...
Akionyeshwa X-Ray na mmoja ya wagonjwa...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea akina mama aliyowakuta wakipata huduma katika hospitali ya Mwananyamara mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani (kulia).
Akinamama wakifurahia kuongea na mkuu wa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea  mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Uhaba wa jengo na Vitanda ndiyo chanzo cha kuwalaza watoto watano kitanda kimoja. PICHA ZAIDI KIDEVU MATUKIO
Posted by MROKI On Tuesday, March 10, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo