Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2015

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma hotuba yake ya kuahirisha mkutano wa Bunge mjini Dodoma leo.

Mbunge wa Manyoni Mashariki, Kapteni Mstaafu John Chiligati, akichangia hoja


Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, akichangioa taarifa ya kamati teule.

 Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Sabrina Sungura aichangia hoja
 Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman akichangia taarifa.
 Wabunge wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya mkutano wa Bunge kuvunjwa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Mwijage, akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda(kulia) baada ya Bunge kuahirishwa jana. Katikati ni Mbunge wa Viti maalum ,Diana  Chilolo.
Posted by MROKI On Saturday, February 07, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo