Nafasi Ya Matangazo

December 14, 2014

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.
Mama mzazi wa wanahabari Kulwa Mwaibale wa GPL, Dotto Mwaibale wa Jamboleo na Nico Mwaibale wa TBC.
 Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale,  Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Global Publishers Ltd (kushoto), wakitoa pole kwa familia ya wafiwa. 
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafiwa wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Sunday, December 14, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo