Nafasi Ya Matangazo

September 23, 2014

Mkurugenzi Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mikazi Bw. Justo Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu taratibu za upimaji wa viwanja nchini na kutoa tahadhari kwa wananchi kutumia makampuni ambayo hayakusajiliwa katika shughuli za upimaji Ardhi, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu wa Baraza la Upimaji na Uthamini wa Wizara Hiyo Bw. Nassor Duduma.
Katibu wa Baraza la Upimaji na Uthamini wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mikazi Bw. Nassor Duduma akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu ufuataji wa Sheria katika shughuli za upimaji ardhi kwa mujibu wa Sheria ya mwaka 1957 sura namba 324, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Wizara Hiyo Bw. Clarence Nanyaro. Hassan Silayo-MAELEZO
Posted by MROKI On Tuesday, September 23, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo