Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2014

 Sehemu ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na sehemu ya wapiganaji  wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza askari wanawake waklioshiriki katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakismama kwa nyimbo ya Taifa  wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha
Askari wa kikosi cha mizinga akichukua taswira meza kuu wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha
Posted by MROKI On Friday, September 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo