Nafasi Ya Matangazo

September 27, 2014

Mbunge wa  jimbo la Kalenga  Godfrey Mgimwa akimkabidhi  zawadi  mwalimu wa  shule ya  sekondari  Kiwere  mwalimu Elika baada ya  kuwa  ni mmoja kati ya  walimu  bora  shuleni hapo.
Wanafunzi  wa kidato cha tano  Kiwere Sekondari  wakionyesha maonyesho ya mavazi wakati wa mahafali ya  kidato cha nnee  shuleni hapo 
Wanafunzi wa kiwere  Sekondari  wakionyesha  show ya  ukweli  wakati wa mahafali ya  kidato cha nne  
Mbunge  Mgimwa  akiwahotubia  wananchi  katika mahafali hayo 
Mhitimu wa  kidato cha nne KIwere Sekondari  akikabidhiwa  cheti  chake na mbunge Mgimwa
Baadhi ya  wahitimu wa kidato cha nne  Kiwere  Sekondari 
Mbunge  Mgimwa akikabidhi  vyeti kwa  wahitimu wa kidato cha nne kiwere sekondari.
Posted by MROKI On Saturday, September 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo