Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2014

CAMERA YA FK! Itakuwa ikukuletea minaso maalum ya Wiki ya tukio fulani ambalo litanaswa na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tukio hilo laweza kuwa lakufurahisha au kusikitisha na litachapishwa hapa kuanzia picha 5 hadi 10. Karibuni sana na wiki hii ni Camera ya FK ilibahatika kunasa taswira za maafande hawa waliokuwa jirani ya kituo cha Goldstar jijini Dar es Salaam wakibadilishan mambo mawili matatu huku wakiangalia usalama katika barabara hiyo.

Posted by MROKI On Friday, September 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo