Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2014

 Kikosi kazi cha wafanyakazi wa Benki ya Akiba wakiwa tayari katika banda lao katika maonesho ya siku tatu ya Taasisi za Fedha yaliyoanza jana na kumaliza Septemba 6 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Huduma mbalimbali zinatolewa na Benki hiyo ikiwa ni pamoja na huduma za mikopo kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa na kufungua akaunti za aina mbalimbali.
 Wananchi wakipata maelezo katika banda la Akiba Bank lililopo katika maonesho ya ya Taasisi za Fedha katika viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam leo.
Wananchi wakipata maelezo katika banda la Akiba Bank lililopo katika maonesho ya ya Taasisi za Fedha katika viwanja vya Manazi Mmoja Dar es Salaam leo.
Posted by MROKI On Friday, September 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo