Nafasi Ya Matangazo

August 13, 2014

Mafundi umeme kama hawa wasio valia sare za Shirika la Umeme nchini Tanesco mara nyingi hudhaniwa kuwa ni vishoka wanaowaunganishia watu umeme kinyemela na kulisababishia hasara shirika hilo kama huyu aliyekutwa akiunganisha umeme maeneo ya Tegeta Dar es Salaam.

Posted by MROKI On Wednesday, August 13, 2014 1 comment

1 comment:

  1. Pia kama ukimuangalia vizuri hana vitendea kazi kabisaaaa

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo