Nafasi Ya Matangazo

May 28, 2014

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa  akiwa katika picha ya pamoja na  Maafisa wa PPF katika viwanja vya Tangamano. Mfuko wa Pensheni wa PPF unawakaribisha Wanachama na Wadau wote kutembelea katika banda lao ili kupata elimu kuhusu mafao na huduma mbali mbali zitolewazo na PPF.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda akisikiliza kwa makini maelezo ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Meneja  wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa   wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 2 ya Kibiashara mkoani Tanga.
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni Bi Zahra Kayugwa   akiwa katika picha pamoja na  washiriki wengine wakati wa   ufunguzi wa Maonesho ya 2 ya Kibiashara mkoani Tanga katika viwanja vya Tangamano.
Posted by MROKI On Wednesday, May 28, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo