Nafasi Ya Matangazo

February 07, 2014



Kumekuwa na kurasa(accounts) mbalimbali zenye jina la Mh Edward Lowassa katika mitandao ya kijamii Kama vile facebook,Twitter, Instagram nk.Zinaonekana mmiliki wake ni Mh Edward Lowassa.

Ukweli ni kwamba  hizo zote hazimilikiwi na Mh Lowassa.Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo hazihusiani kwa namna yoyote na Mh Lowassa.

Hata hivyo Mh Lowassa anawashukuru wote wenye kumiliki account hizo bila ya ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake.

Imetolewa na ofisi ya  Mh Edward ngoyai Lowassa (MB)
Posted by MROKI On Friday, February 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo