Nafasi Ya Matangazo

February 27, 2014

 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo leo ameungana na viongozi mbalimbali wa Kata katika kushiriki katika ujenzi wa maabara katika moja ya sekondari za 'Kata' zilizopo Wilayani kwake. Pichani ni DC huyo akibeba matofali na kusaidia katika ujenzi huo.

Posted by MROKI On Thursday, February 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo