Nafasi Ya Matangazo

May 12, 2013

 Maharushi wakiwa ni wenye nyuso za furaha na bashasha tele.
 Mdau Innocent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakikata ndafu wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Maharushi Innochent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakiwa sambamba na wapambe wao kwenye tafrija hiyo ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Bwana Hasuri Innocent Melleck
Bi. Harusi Hanifa Hussein.
 Matron (jina kapuni)
 Maharusi na wapambe wao wakiwa hai tebo.
 Maharusi wakijisevia msosi.
 Wadau sie pia tuliwakilisha ndani ya mnuso huo,hapa nikiwa na Cathbert Angelo.
 Pongezi toka kwa ndugu,jamaa na marahiki.
 Sebene limekolea.
 Wageni waalikwa wakiendelea kuserebuka.
 Baba wa Bw. Harusi akicheza sambamba na mkwewe.
 Wadau wakilisakata rhumba.
 Bw. na bi. harusi.
 kwaito ndio mpango mzima likianza huwa hakuna anaetaka kukaa. 
Posted by MROKI On Sunday, May 12, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo