Nafasi Ya Matangazo

February 12, 2013

WATANZANIA WENZANGU MIMI NI MDAU NINAYEISHI SWEDEN YA KUSINI. NINATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA KUUZA MAGARI/ SPEA PARTS SWEDEN-TANZANIA. ILA KUNA CHALLENGES NDOGONDOGO NAPATA. KAMA YUPO MTU MWENYE AIDIAZ YA HILI, MWENYE KUTOA USHAURI AU ANAYEPENDA KUFANYA BIASHARA HII NA ANAISHI HAPA NAOMBA TUWASILIANE KWA EMAIL:florence.mndeme@yahoo.com

ASANTE SANA
Posted by MROKI On Tuesday, February 12, 2013 3 comments

3 comments:

  1. kamanda ni rafiki yangu wa karibu tuko office 1 ni mtaalam wa ufundi magari pia ni dalali wa magari kibao apa mjini arusha hivyo nawezza mtumia yeye tukafanya kazi rgombe@gmail.com\






    ReplyDelete
    Replies
    1. richard can u inbox me in 0768570703 now, i have urgent matter on this issue of sale

      Delete
  2. MIMI JINA LANGU FRANK CHIWANGU NAISHI DARESSALAAM ,KIGAMBONI NI WAKALA WA FORDHA NINAYOUFAHAMU WA KUTOSHA KUHUSU KUINGIZA MIZIGO YOTE NCHI YA NCHI ,UUZAJI PIA NAOMBA TUWASILIANE+255652210838 EMAIL.frankchiwangu@yahoo.com

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo