Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2013

 Mwana Birthday Athman Ford 'Wabogojo' akiwa kazini Macau China.
Lote ni siku ya kuzaliwa kwa mwana Sarakasi Wabogojo. Na huu ndio ujumbe wake kwa wadau na wapenzi wake wote. 
 
Tarehe na Mwezi kama huu ndo nilizaliwa Mimi  Athuman Ford Athuman-Wabogojo Wa Mr Nice.
 
Wabogojo anasema Bado yupo Macau China na anamshukuru Mungu nimeongezewa Mkataba hadi Sept 2014

Namshukuru Mungu na Mama pamoja na Ndugu na Jamaa na Marafiki wote bila kumsahau Mr Nice
Posted by MROKI On Saturday, February 09, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo