Nafasi Ya Matangazo

January 02, 2013

 WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam jana Januari 1, 2013 walifika kwa Wingi katika Fukwe ya bahari ya Hindi eneo la Coco Beach kwaajili ya kupunga upepo na kuogelea ikiwa ni sehemu yao ya maadhimisho ya Mwaka mpya. Wakazi hao ambao ni watu wazima na watoto walifurika kwa wingi katika eneo hilo na kufurahia siku kuu hiyo ya mwaka mpya.
 Sehemu ya Umati wa watu ukiwa katika Fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Coco.
 Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa wamepumzika katika eneo hilo la Ufukwe wa Coco
Watu wengi walifika kwaajili ya Kuogelea na hakika licha ya mawimbi makubwa lakini walimudu vyema kuogelea na kuifurahia siku kuu ya Mwaka Mpya.
Posted by MROKI On Wednesday, January 02, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo