Nafasi Ya Matangazo

November 19, 2012

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezaeshaji Kiuchumi, Anaclet Kashuliza akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua  shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Kitivo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDEC), Maria Nchimbi akitoa mada wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
 Ofisa Masoko wa CRDB, Emmanuel Kiondo akitoa mada kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Ofisa Masoko wa CRDB, Emmanuel Kiondo (kushoto) akiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezaeshaji na Kiuchumi  wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
 Baadhi ya washiri wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa benki ya CRDB
Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu wakipewa vipeperushi kutoka kwa Ofisa wa benki ya CRDB, wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
 Waziri Mkuu Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Enos Lupimo (kushoto) akipata maelezo  kutoka kwa Ofisa wa Benki ya CRDB, Tumaini Kamuhanda (wa pili kulia)  kuhusu huduma za kibenki zinazotolewa na benki hiyo wakati wa shindano la kuandika michanganuo ya biashara na kuvishirikisha vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ndio wadhamini wa shindano hilo.
Posted by MROKI On Monday, November 19, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo