Nafasi Ya Matangazo

November 05, 2012



Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani Katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Eddo Sanga Sahani Dede na Juma Katundu, bendi hiyo kila mwishoni mwa wiki hutumbuiza katika ukumbi huo kwa ajili ya kutoa burudani.

Mpiga gila la Ridhim Wa msondo ngoma Zahoro Bangwe akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika leo katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni.
Wasanii wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala bungoni kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande wakipuliza ara za mziki. 
Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani Katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Eddo Sanga Sahani Dede na Juma Katundu bendi hiyo kila mwishoni mwa wiki utumbuiza katika ukumbi huo kwa ajili ya kutoa burudani mwishoni mwa wiki picha nawww.burudan.blogspot.com
Posted by MROKI On Monday, November 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo