Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2012

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (wa pili kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa mkufunzi wa FIFA kutoka Botswana, Sinca Kanyemvu wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa  soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es  Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lagerndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na Yanga. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Ossiah Angetile, Rais wa TFF, Leodgar Tenga na Mkufunzi wa FIFA, Barry Bukoro kutoka Namibia.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akkiwahutubia washiriki wa wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es  Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na
Yanga.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Saad Kawemba wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi cheti Beatrice Mgaya kutoka Tanga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management)  liyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na
uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na Yanga
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi cheti Rais wa TFF Leodgar Tenga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na
uongozi wa TFF.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (mwenye shati jeupe) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo akatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.
Posted by MROKI On Friday, August 10, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo