Nafasi Ya Matangazo

August 29, 2012

Naibu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Tanesco Tanzania Boniface Saimon Njombe akikata keki wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake ,wanao shuhudia Kutoka kulia ni Mke wake Dafrosa Njombe, Mama mzazi Lucy Simon na Mtoto wake wa Kwanza Simon Njombe( kushoto) hafla hiyo ilifanyika Nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
 Njombe akimlisha keki mama yake mzazi huku kulia Mkewe akishuhudia.
 Njombe akishuhudiwa na mkewe wakati akikata keki ya kujipongeza
Mama mzaazi akimlisha mtoto wake keki wakati wa tafrija hiyo jijin i Dar es salaam.
Posted by MROKI On Wednesday, August 29, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo