Nafasi Ya Matangazo

July 20, 2012

 Mabingwa watetezi wa Kombe la Kagame Yanga wanakipiga na timu ya APR kutoka Rwanda na mpira ni mapumziko huku Yanga ikiwa Mbele kwa goli moja lililofungwa katika kipinbdi cha kwanza na cha pili mfungaji akiwa ni Said Bahanuz. Pichani ni Bahanuz akikimbia wakati akishangilia moja goli lake.
Uzembe wa beki wa APR na ushapu wa Bahanuzi ndio umeipa Yanga goli la pili katika dakika ya 67.



Posted by MROKI On Friday, July 20, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo