Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2012

 Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udahili wa Chuo cha Usimamizi wa fedha(IFM) David Philipo (kushoto) wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo chini Wizara ya Fedha katika maonesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam jana (leo) jijini Dar es salaam kwa ajili kutembelea Banda la Wizara yake.
 Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Benki ya Posta  wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo chini Wizara ya Fedha katika maonesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam jana (leo) jijini Dar es salaam kwa ajili kutembelea Banda la Wizara yake.
 Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kulia) akiuliza swali kwa wanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo chini Wizara ya Fedha katika maonesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam jana (leo) jijini Dar es salaam kwa ajili kutembelea Banda la Wizara yake.
 Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari  wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo chini Wizara ya Fedha katika maonesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam jana (leo) jijini Dar es salaam kwa ajili kutembelea Banda la Wizara yake.
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa mhadhiri wa Chuo cha Mipango  Emmanuel Hauli(kushoto)  wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo chini Wizara ya Fedha katika maonesho ya 36 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam jana (leo) jijini Dar es salaam kwa ajili kutembelea Banda la Wizara yake.
Posted by MROKI On Monday, July 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo