Nafasi Ya Matangazo

July 16, 2012

Marehemu Patrin Kibelloh aliefariki ghafla siku ya Jumanne July10,2012. alizikwa Ijumaa july13 huka kwenye makaburi ya Gardner, West Roxbury ,Massachusset. Nchini Marekani 

Baadhi ya ndugu na marafiki waliohudhuria katia msiba huko nyumbani kwake Saugus, Boston Massachusset.
Marehemu Patrin Kibelloh amepata mafunzo katika Institute proffesional & Restaurant mjini Boario nchini ITALY alizaliwa April 25,1963 huko Tanzania ameacha mke wa Watoto wawili akiwa na umri wa miaka 49. SOURCE: Swahilivilla.blog

M/Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi!
Posted by MROKI On Monday, July 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo