Nafasi Ya Matangazo

April 05, 2012

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Wiliamu Ngeleja,Akisoma hotuba, Leo katika uzinduzi wa bodi ya ushauri ya madini,uliofanyika katika hotel ya HYATT REGECY jijini Dar es salaam, bodi hiyo itakuwa ikitoa ushauri katika maswala mbalimbali yanayohusu usimamizi wa sekta ya  madini, Ikiwemo  serikali kuingia mikataba na kampuni ya Special Mining Licence(SML) na Retention Licence, Uhuishaji wa leseni za (SMl)
Waziri wa nishati na madini Mhe Wiliamu Ngeleja,Kulia akibadilishana mawazo na mwenyekiti mpya wa bodi ya ushauri wa madini Bwana Richard Kasesela, Katikati Naibu waziri wa wizara hiyo Mhe, Adam Malima.
waziri wa nishati na madini Mhe; Wiliamu Ngeleja,Akiwa katika picha ya pamoja Na kamati mpya ya ushauri wa madini. Source: Full Shangwe Blog.
Posted by MROKI On Thursday, April 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo