Nafasi Ya Matangazo

February 08, 2012

Mwandishi Faraj H. Katalambula Hatunaye Tena Pichani kulia. Amefariki jioni ya leo hospitalini Muhimbili. Katalambula ambaye ni mmoja wa watunzi wa vitabu mahiri kupata kutokea atakumbukwa zaidi kwa utunzi wake wa kitabu kilichosomwa sana cha ' Simu ya Kifo'. Taarifa za msiba zimeletwa kwetu na mdogo wa marehemu Bw. Gideon Katalambula. Msiba uko nyumbani kwa Marehemu Mbagala Majimatitu. Taarifa zaidi za kifo chake tutawaletea kadri tutakavyozipokea.


Mungu Amlaze Mahali Panapomstahili marehemu, Amen.
Posted by MROKI On Wednesday, February 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo