Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2012

Hakika Mboga za majani ndio moja ya Virutubisho bra vya afya ya mwanadamu, na aitumiapo vyema mwili wake haushambuliwi na magonjwa ya mara kwa mara. Huko vijijini Mboga hizi zinapatikana kwa wingi na za kila namna. Pichani ni watoto wa Kijiji cha Ntyuka Dodoma wakichuma mboga ya majani ya maboga ambnayo imestawi vizuri na mazingira yake ni mazuri si kama mboga ziliwazo mijini hasa jijini Dar es Salaam ambazo hulimwa katika mabonde ya maji taka.
Posted by MROKI On Friday, February 10, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo