Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2012

KIJOBI.JPG
 Leo, Legal and Human Rights Centre, wakishirikiana na asasi nyingine nyingi za kiraia, wameandaa maandamano ya amani saa tisa mchana leo, kuanzia Salendar Bridge. Watanzania, wapenda amani na wapenda haki, tuungane nao kutuma ujumbe kutaka Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Mganga Mkuu Wizara ya Afya wafutwe kazi mara moja; madaktari warudi kazini mara moja; serikali na madaktari wakae meza moja na kujadili masuala muhimu ya afya, na wafikie makubaliano ndani ya miezi mitatu.
IMG_3073.JPGIMG_3079.JPGIMG_3084.JPGIMG_3095.JPGIMG_3097.JPGIMG_3108.JPGIMG_3115.JPGIMG_3117.JPGIMG_3120.JPGIMG_3122.JPGIMG_3124.JPGIMG_3128.JPG
 Mkusanyiko huo uliodumu kwa takriban saa mbili, Uliosababisha kero kubwa na hili lilifanyika ili kulazimisha serikali isikie na kuchukua hatua dhidi ya mgomo huo wa Madaktari nchini.
Posted by MROKI On Thursday, February 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo