Nafasi Ya Matangazo

October 04, 2011

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, akiteta na mkazi wa wami dakawa , ambaye ni mlemavu wa viungo akihutaji kusidiwa fedha za kununua mipira ya baiskeli yao.
Diwani wa Kata ya Mtibwa, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro kupitia CHADEMA , Tusekile Mwakyoma, akiwahutubia wananchi wa mtibwa kabla ya kumkaribisha Mbunge wa Jimbo hilo, Amos Makalla ( hayupo pichani).
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ,kutoa vitabu vya masomo ya sayansi na hisabati, Sekondari ya Lusanga. Mbunge huyo yupo katika zira hiyo ya kutembeleashule zote za sekondari zilizopo katika jimbo lake kwa lengo la kugawa vitabu. 
Posted by MROKI On Tuesday, October 04, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo