Marehemu Leticia Kaijage enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa katika Msiba Tabata Segerea nyumbani kwa kaka wa marehemu.
Waombolezaji ambao baadhi yao walifanya kazi pamoja na Marehemu katika Kampuni za PR wakiwa msibani.
Ndugu wa marehemu wakiwa msibani hapo.
Jamaa na marafiki wa marehemu.
Sanduku lililouhifadhi mwili wa Marehemu Leticia likiwa tayari kwa misa maalum ya kumuombea.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu.
Ilikuwa ni majonzi makubwa sana kwa watu wakaribu na marehemu.
hapa ni Celine Njuju na Betrice Singano ambao walishindwa kujizua na kububujikwa na machozi.
Hawa nao walilia kwa kuondokewa na mpendwa wao.
waombolezaji wakibeba sanduku tayari kwa safari ya kwenda Kijiji cha Nyakigando Kata ya Kaibanja Wilaya ya Bukoba Vijijni ambako mwili wa marehemu utahifadhiwa katika nyumba yake ya Milele Oktoba 7,2010.
Mwili ukiingizwa katika gari
Gari likiwa tayari kuanza safari ya kuelekea Uwanja wa Ndege. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Amina.
RIP LETICIA TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI
ReplyDeleteRest in peace Leticia, we will miss you a lot.
ReplyDelete"Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe" ameen
May the soul of my one and only aunt rest in PEACE, we miss you, it's been 12 years, feels like yesterday 🙏
ReplyDelete