Nafasi Ya Matangazo

May 29, 2010

Miss Tabata 2010 Consolata Lucas akipungia mkono mashabiki mra baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Dar West Tabata jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kulia ni mshindi wa tatu Lilian Andrew na kushoto ni mshindi wa pili Sinthia Bavu. Wakijinafasi na kivazi cha ufukweni.
Vazi la usiku...
Tano bora ya Miss Tabata 2010 kuanzia kulia ni Sinthia Bavu, Harrieth Mulumba, Doreen Deus, Lilian Andrew na Consolata Lucas.
Baadhi ya Majaji wa Miss Tabata kulia ni Ayoub Ryoba na kushoto ni dada Neema kutoka Lady Choice Saloon wakiteta mambo kadhaa juu shindano hilo lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Dar West Tabata. Kutoka shoto, Hashim Lundenga, Tom Chilala na Ben Kisaka wakiwa Miss Tabata
Burudani ilikuwa ya kufa mtu kutoka Twanga Pepeta
Kazi kwenu na Mashabiki walipata raha ya uhakika.

Posted by MROKI On Saturday, May 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo