Nafasi Ya Matangazo

February 06, 2010

Vijana wa kazi wakiwa kazini katika viwanja vya Kipawa Dar es Salaam leo asubuhi kusimamia zoezi la ubomoaji wa nyumba za wakazi wa eneo hilo waliogoma kuhama kwa hiyari. Pichanani ni Mabaunsa wa majembe wakiwa wameshikilia ngao kama za FFU wakiwa na Mkurugenzi wao Katikati Seith Motto.
Mtambo ukiwa kazini ukitafuna nyumba za Kipawa.
Wakazi wakiondoa mabaki ya nyumba zao
Muda uliwadia wa kuondoka
Kila aliyeona kina mfaa alichukua baada ya kubomolewa nyumba zao.
Posted by MROKI On Saturday, February 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo