Nafasi Ya Matangazo

February 03, 2010

Baada ya matukio kadha ya kutaka kulipua ndege hasa za kimarekani nchi za wenzetu zimebuni mashine maalum za ukaguzi mwili mzima na mambo huwa hivi kwa Maofisa pindi atokeapo mwana dada kuingia katika hizo mashine. Vipi ikija hapa kwetu, jamaa hawatataka kupokewa kazini siku 360.
Posted by MROKI On Wednesday, February 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo