Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2010

Meneja Mwandamizi wa akaunti za watu binafsi Abdul Majid Nsekela akimkabidhi simu ya mkononi mmoja wa washindi wa droo ya sherehekea na NMB mobile John Mwakinyuke (kulia) iliyo anza mwishoni mwa mwaka jana na kuhitimishwa jana .Jumla ya washindi 110 wamejinyakulia zawadi tele katikati ni Maurce Njowoka Ofisa Masoko wa NMB akishuhudia makabidhiano hayo.
Posted by MROKI On Thursday, January 21, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Well done, keep it up, weed more creativity in banking sector! Mdau Rock City.

    ReplyDelete
  2. huyo ni Abdul majid alikua Birmingham??? keep it up mjukuu wangu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo