Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2010

Mkazi wa Kimamba Wilayani Kilosa akitoka kuchota maji katika moja ya madimbwi yaliyotuama maji ya mvua kijijini hapo hivi karibuni. Ukosefu wa maji safi na salama ya uhakika vijijini hupelekea wananchui wake kunywa maji yeyote wayapatayo jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.
Posted by MROKI On Thursday, January 21, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Binti umependeza hivyo ulivyo. Usihangaike na mikorogo, unapendeza ukiwa natural.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo