Nafasi Ya Matangazo

September 17, 2009

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zain Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akiwa na Meneja Mawasiliano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya (kushoto) na Mratibu wa programu ya Zain Zawadi, Mwangaza Matotola wakionesha kadi na vipeperushi vya programu ya Zawadi kwa Waandishi wa Habari Dar es Salaam jana baada ya kutangaza kuongeza idadi ya makampuni nchini yatakayotoa zawadi na punguzo la bei kwa huduma na bidhaa mbali mbali nchi nzima kwa wateja wa Zain katika program yake ya Zain Zawadi.
Posted by MROKI On Thursday, September 17, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo