October 21, 2026

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.







No comments:

Post a Comment