August 28, 2026

MKEMIA MKUU WA SERIKALI YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA TIBA ASILI YA MWAFRIKA MKOANI MBEYA

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaendelea kutoa elimu kuhusu majukumu mbalimbali yanayotekelezwa na Mamlaka hiyo hususan katika uchunguzi wa kimaabara wa Dawa Asili kwa wadau wa Tiba Asili katika maadhimisho ya wiki ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayofanyika katika viwanja vya Uhindini mkoani Mbeya.








No comments:

Post a Comment