KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 09, 2026
MWAKALEBELA AFARIKI DUNIA
Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la Daily News, Leonard Wilfred Mwakalabela amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti la Serikali (TSN) Bi. Aisha Dachi imesema Mwakalebela amefikwa na umauti Julai 08, 2026.
No comments:
Post a Comment