July 11, 2026

LYATUU ATEMBELEA BANDA LA PBPA KATIKA MAONESZ

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati,Petro Lyatuu ametembelea banda la Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA ) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)leo  Julai 11 2026.



No comments:

Post a Comment