KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 01, 2026
TAZAMA UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2026
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetangaza rasmi uchaguzi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka 2026.
No comments:
Post a Comment