March 25, 2026

VIONGOZI WA SERIKALI, WAOMBOLEZAJI NYUMBANI KWA MAREHEMU LUKUVI

Viongozi na waombolezaji mbalimbali wamewasili nyumbani  kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu) marehemu Mhe. William V. Lukuvi, Area D Jijini Dodoma.

Mhe. Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.












No comments:

Post a Comment