KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
January 28, 2026
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE AMTEMBELEA WAZIRI MKUU DKT NCHEMBA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 28, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumzana Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 28, 2026.
No comments:
Post a Comment